MZUNGU AFUMANIWA GESTI AKIWA NA MWANAFUNZI
NI kweli duniani kuna mambo na mambo yenyewe hufanywa na binadamu!
Mzungu mmoja ambaye jina lake halikupatikana, amejikuta mikononi mwa
polisi kufuatia kunaswa gesti akiwa na denti, OFM wa Ijumaa walikuwepo.
Tukio hilo la aina yake kwa mwaka 2014, lilitokea saa saba usiku wa
kuamkia juzi katika gesti hiyo iliyopo Msasani jijini Dar es Salaam.
DENTI AKWEPA SHULE
Awali ilidaiwa kuwa, mwanafunzi huyo wa kidato cha tatu, anayesoma katika shule moja ya sekondari jijini Dar, (jina tunalihifadhi kwa maadili) alikuwa akikwepa shule jambo lililokuwa likimuumiza kichwa mama yake mzazi (jina lipo).

Katika kufuatilia, mzazi huyo alibaini kwamba, binti yake alikuwa amebanwa na Mzungu huyo na ndipo alipofikiria njia ya kumnasa.
OFM YASHIRIKISHWA
Habari zaidi zinasema kuwa katika kupanga mkakati huo, mwanamke huyo alipata jibu kwamba ni lazima Oparesheni Fichua Maovu ‘OFM’ washirikishwe.
Ilikuwa saa 3:45 usiku wa Machi 11, 2014, Kamanda wa OFM alipokea simu kutoka kwa mwanamke aliyejitambulisha kwa jina la mama Zakia, mkazi wa Tegeta jijini Dar es Salaam.

Mama: Haloo, hapo ni Global Publishers?
Kamanda: Ndiyo mama, unasemaje?
Mama: Jamani naombeni msaada wenu maana nyinyi ni kiboko hamuwezi kuyafumbia macho maovu. Mimi ni mjane najisomeshea mwanangu, kwa sasa yupo kidato cha tatu.

Namsomesha kwa shida sana lakini sasa nimegundua kuna Mzungu anamrubuni mpaka wakati mwingine haendi shule.
Hivi karibuni nilianza kumtilia shaka, nikachukua simu yake akiwa
amelala, nikaipekua na kukuta meseji za mapenzi za mtu ambaye simfahamu.
Lengo langu ni kumkomesha huyu mtu ili iwe fundisho kwa wengine.
Kamanda: Oke mama, nimekuelewa, tunakuahidi kukusaidia, kinachotakiwa ufuate taratibu za kisheria kwanza. Katoe ripoti polisi maana huyo ni mwanafunzi kisha wasiliana na mjumbe au mwenyekiti wa mtaa.
Mama: Ahsante sana mwanangu, nitakujulisha.

MJOMBA MTU AJULISHWA
Kwa sababu ni mjane, mwanamke huyo aliwasiliana na kaka yake ambaye alianza kumfuatilia denti huyo kila alipokuwa akienda, hasa nyakati za jioni, ndipo za mwizi arobaini zikatimia.

DENTI AONEKANA AKIPANDA GARI YA MZUNGU
Siku ya tukio, mjomba huyo alifanikiwa kumuona mpwa wake akipanda ndinga ya Mzungu huyo.
Mjomba huyo, haraka sana aliwasiliana na Kamanda wa OFM, wakakutana na kuanza kulifuatilia gari hilo kila lilipokuwa likikatiza.

WATINGA KLABU
Mwisho wa safari ya wawili hao ilikuwa kwenye klabu moja ya usiku iliyopo Masaki, Dar ambako walitumia muda mwingi kujirusha hadi mishale ya saa saba usiku.

MZUNGU MBELE, OFM, MJOMBA NYUMA
Baada ya wawili hao kutoka klabu, msafara wa kwenda gesti ulianza ambapo Mzungu huyo akiwa na denti, bila kujua wanafuatiliwa, walikwenda hadi kwenye gesti hiyo.
OFM na mjomba mtu nao walikuwa nyuma yao huku tayari wakiwa wameshawasiliana na askari ambao walifika kwenye gesti hiyo na kuunganisha nguvu.

MHUDUMU AWEKWA MTU KATI, AGONGA MLANGO
Ili kumweka mtu kati Mzungu huyo, ilibidi mhudumu wa gesti hiyo atonywe kisa chote ambapo alikubali kwenda kugonga mlango wa chumba walichoingia wapenzi hao.

MZUNGU, DENTI LAIVU!
Mzungu ndiye aliyefungua mlango na kukutwa kama alivyozaliwa huku denti akiwa juu ya kitanda.
Kwa hasira, mjomba alimchapa kofi mpwa wake ambapo Mzungu huyo aliomba apigwe yeye kama suala la kupigana litaendelea. Hata hivyo, hakupigwa.

MZUNGU AJITETEA
Katika utetezi wake, Mzungu huyo alisema anashangaa kuvamiwa wakati denti huyo ni girlfriend wake, utetezi ambao haukukubalika.

OFM YAWAACHA
Kwa kuwa OFM walikuwa na majukumu mengine usiku huo, baada ya zoezi hilo kukamilika waliondoka eneo la tukio na kuwaacha askari na mjomba mtu wakiendelea kumhoji Mzungu huyo.

Stori: Issa Mnally na Richard Bukos
GPL
0 comments: