DIAMOND ASHIKA NUMBER MOJA TOP TEN CHAT YA NYIMBO ZA AFRICA..TRACE TV



Toka nimeanza kufatilia hii chati ya TRACE TV, kituo cha ufaransa ambacho kimeshika hata nchi za Afrika kwa kucheza muziki wenye viwango kutoka kila kona ya dunia, sijawahi kuona msanii wa Afrika Mashariki alieshika nafasi ya kwanza kwenye Top10.
Siku zote nilizoea kuona Wasouth Africa na Wanigeria ndio wanaishika namba 1 ila sasa Mtanzania Diamond ameivunja hiyo rekodi kupitia single yake ya ‘number 1 rmx’ ambayo kamshirikisha Mnigeria Davido
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments: