JAGUAR NOMA..AWATOA JELA WALE WAFUNGWA ALIYO FANYA NAO VIDEO YA KIOO GEREZA NI
Mwanamuziki Jaguar wa Kenya Amefanya
jambo la Maana baada ya kuwatoa wafungwa wawili jela ambao aliomba
afanye nao Video ya Kioo Wimbo wake unao tamba sasa...Alifanya hivyo kwa
kuwalipia Fine ambazo walikuwa wana dai na hivyo Serekali kuwaachia
Huru....Big Kaka
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments: