ANASWA NA MUME WA MTU: HATARI SANA
Sukari
hugeuka shubiri pale fumanizi linapochukua nafasi na hiyo ndiyo sababu
ya mwanamke anayeitwa Sheila kukiri kwamba mume wa mtu ni sumu kisha
kujiapiza kuwa hatarudia tena.
Sheila, alifumwa na mume wa mtu anayeitwa Baba Joyce kwenye nyumba moja ya kulala wageni, iliyopo Manzesei.
Udakutz.com , lilinyetishiwa fumanizi hilo baada ya vurugu kuanza na lilipofika eneo la tukio, lilimkuta mwenye mume, Mama Joyce akimsulubu Sheila kwa makonde, mateke na vichwa.
Shuhudia picha hapo chini.

0 comments: