Dr.CHENI ambaye yeye tofauti na uigizaji pia ni mshehereshaji(MC)
amekuwa kivutio kikubwa sana katika shughuli za masherehe ya kutosha,
Cheni ameuambia mtaandao wetu kuwa huwa anapokea simu nyingi sana za
kumhitaji kufanya sherehe kama MC na yuko tayari wakati wowote
anapohitajika maana yeye yupo kwa ajili ya jamii
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments: