FLORA LYMO: LE MUTUZ KAMPATA MBURULA WA MAVAAZI WAKUMSHINDA'' YANI BORA LEMUTUZ KUMLIKO HUYO
Mburula ni Mburula tu''kama siyo wa Akili basi wa MAVAAZI ''Hebu muoneni huyo ndie nani tena?? wa (kushoto )Uwiii''Huyu Mkaka Mweusi wetu na Ngozi Alisi ya Mwaafrica anaitwa Steve McQueen 'ambaye anaetingisha Kule kwa wenzetu wa ma'Super Movie's kwa Film yake ya 12 Years A Slave' YEYE NDIYO DIRECTOR '' Help me everyone ''WHAT ON MENTAL DESIGNS IS HE WEARING ? Yani nimebakia na Muwaza William Malecela on (Right )aka LE MUTZ akiwa na Wema Sepetu hapo'' alafu nilipo walinganisha nikapata jibu fasta fasta''mazeee''Heri Mburula wetu Lemutz japo leo kamshinda Huyo DIRECTOR MZIMA'' NA AKILI ZAKE ZA FAB FILM'' YANI AMEVAA NINI HICHI ''HAHHAHHAHAA'nimecheka kwa nguvu mpaka na machozi yakanitoka ya kuchekaaaaaa''Hahahhahhahaa''Duuu''kweli VITUKO VYA MWAKA 2014 KWA WEUSI WETU ''AIBUJE''' NEXT NA WAWEKEENI NA ZA MDADA AMBAE NAE WAMECHEZA PAMOJA KWENYE HII FILM'' NI AIBU NA VITUKOOOO'' MBUTA NANGA!!
0 comments: