PICHAZ:WEMA NA DIAMOND PLATNUMZ SASA MAPENZI MOTO MOTO..WAMERUDIANA KWA KASI BAADA YA PENNY KU SIGN OUT...USHAHID HUU HAPA JANA KATIKA TOTO PARTY LEADERS



sdd
Hii ilikuwa jana pale Leaders club kwenye show ya Diamond ambapo Wema Sepetu alipanda kwenye stage na kuongea na mashabiki waliofika kwenye show hiyo.
Kwenye hiyo show Diamond aliuliza,”Mnataka kumjua mchumba wangu”?
Show ilivyoendelea Diamond alitaka kuimba wimbo wa ukimwona akasema, “Naskia ninayetaka kumuimbia wimbo huu yupo humuhumu ndani”.
Wema Sepetu akapanda kwenye stage wakaimba na kucheza wote.


379719_654725334570888_100223854_n
1499625_654740321236056_1133727884_n
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments: