PICHA ZA GARI AINA YA RANGE ROVER AMBALO NI REFU KULIKO YOTE AFRICA MASHARIKI
Mara nyingi tumezoea kuziona Limousine ndefu kwenye harusi tofautitofauti lakini Range hii ambayo ipo Kenya inaweza kuwa ndio ndefu zaidi kuliko Range zote ambazo zipo Afrika Mashariki ambapo unaweza kutazama picha zake za ndani na nje hapa.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments: