MWAKEMBE NOMA:AFANYA UKAGUZI WA MABASI YA MIKOANI KUONA KAMA WAMEZIDISHA NAULI MSIMU WA SIKUKUU


Kuelekea kusheherekea sikukuu za Xmass na Mwaka Mpya Waziri wa Uchukuzi Dr Harrison Mwakembe amefanya ukaguzi wa tiketi kwa mabasi mbalimbali yaendayo mikoani ilikubaini mabasi yaliyo toza gharama kubwa za nauli katika kipindi hiki cha Xmass na mwaka mpya.
Baadhi ya mabasi yaliyokamatwa kwa makosa ya kuzidisha nauli aliamuru kurudishiwa nauli zilizozidi kwa abiria wao,zoezi hilo limefanyika alfajiri eneo la Visiga mkoa wa Pwani,kurudishiwa nauli kwa abiria kumeenda sambamba na faini ya shilingi laki mbili na nusu kwa kila basi lililofanya kosa hilo.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments: