HIZI NDO PICHA ZA RAISI KIKWETE ALIPOKUTANA NA RAISI KAGAME WA RWANDA HUKO NCHINI UGANDA..
Rais Jakaya Kikwete leo amefanya mazungumzo na Rais Paul Kagame wa Rwanda katika mkutano wa saba wa kimataifa wa nchi za maziwa makuu, unaofanyika Kampala, Uganda.
Haijafahamika mara moja walichozungumza, hizi ni picha za mkutano wao.
Marais hao wamekutana wakati ambapo uhusiano kati ya nchi hizo mbili unaendelea kuzorota
0 comments: