BREAKING NEWZZ..: WABUNGE WA UPINZANI ZAIDI YA 20 WATOKA NJE YA BUNGE BAADA YA KUPUUZWA BUNGENI...!!


Wabunge zaidi ya 20 wamesimama kwa mujibu wa sheria , Jenista Muhagama akaandika majina  yao na kutowapa nafasi, akitarajia kuwapa nafasi mwishoni! 

Kati yao  Mbunge wa CUF mwanamama Mwituka na John M. Shibuda wa CHADEMA, Dr. Augustine Lyatonga Mrema  wao wamebaki ukumbini huku wenzao wakitoka nje kwa kuona wapepuuziwa.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments: