FUATILIA SAKALA LA MUME WA Bi, JOYCE KIRIA HAPA.
PICHA ZIKIMUONYESHA MUME WA JOYCE KIRIA NA VIJANA WENGINE WA CHADEMA WAKIWA NA PINGU WAKIKABILIWA NA KESI DHIDI YA UGAIDI IGUNGA HUKU POLISI NAO WAKIMKEMEA JOYCE KIRIA.
Henry Kilewo akiwa na watuhumiwa wenzake wa mashtaka ya Ugaidi yanayowakabili wakati walipofikishwa Mahakama ya Hakimu mkazi mkoani Tabora kwa mara ya kwanza.
Wanachama wengine wa Chadema ambao wanahusishwa katika mashataka hayo ya Kigaidi ambapo imedaiwa kuwa watuhumiwa walifanya makosa hayo ya Ugaidi na kumjeruhi Mussa Tesha ambaye ni mwanachama wa CCM wakati wa kampeni za uchaguzi wa Ubunge wa jimbo la Igunga mnamo tarehe 9/9/2011 katika msitu wa Hanihani huko wilayani Igunga. 

0 comments: