YULE MBAYA WA LOVENESS DIVA AWASILI DAR, NI THE Boss Lady HUDDAH MORONE WA KENYA

Huddah akiwaupdate mashabiki wake wa Twitter baada ya kuwasili Dar


Huddah akiwa na mwenyeji wake, Arthur wa kampuni ya Unity Entertainment kwenye uwanja wa kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es Salaam


Huddan na Arthur wakielekea kwenye gari kwenda hotelini
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments: