BAADA YA HUDDAH KUACHIA KITOVU WAZI ILI KUMTAMANISHA PREZZO, DIVA NAYE AJIBU MAPIGO KWA KUKIANIKA KITOVU CHAKE HADHARANI...!!
Friday, June 7, 2013 | 6:00 AM
Baada ya huddah kuweka picha yake akiwa na prezzo na kuzua gumzo mitandaoni, Diva wa clouds fm ameamua kuweka picha yake
ya NUSU UCHI ili
kupotezea Aibu hiyo..
Prezzo na mpenzi wake....
"Love at the first sight imekwishaimekwisha."....
Ulimpiga KIBUTI mbunge mh. JEPESI , tena kwa mbwembwe, vijembe na kejeli kibao mtandaoni......

Leo hii jamii inashuhudia unavyoumbuka.Penzi la Huddah na Prezzo lilikuwa wazi na la vitendo.....
Siku
moja kabla ya kutolewa katika jumba la big brother, Huudah
aliweka wazi juu ya uhusiano wake na Prezzo huku akielezea
jinsi alivyo miss kushikwa shikwa...!!

Nani alikurupuka kati yake na wewe???
Si mbaya sana, ENDELEA KUWEKA PICHA ZA UCHI, PENGINE ATAHAMISHIA PENZI KWAKE
0 comments: