KUTOKA TWITTER HALI SIO MZURI DIVA NA MWANADADA KUTOKA KENYA WAGOMBANIA PENZI LA PREZZO CHEKI MATUSI WALIOTUKANANA






mdhuri katika poz


huddah the boss(bitch) lady





Akiwa na CMB prezzo

Jamani kama mapenzi yameisha MSILAZIMISHE, mcheki huyu mwanadada maarufu nchini Kenya anayejulikana kama Huddah m\Monroe alivyopoteza muda wake na kujiingiza kwenye bifu la wazi na t\Tanzanian Diva Loveness Love kisa penzi la Prezzo..
Huyu dada toka alipoamka alikuwa anamchamba mwenzie yani nahisi alivolala alikuwa anaota atavyomchambua diva. Wewe dada jamani tunajua ni wivu tu unakusumbua huna cha zaidi, nakushauri tu utafute mwanaume mwingine maana huyu kashamove on na kama ulivyomsikia mwenyewe kasema yupo na Diva basi usipoteze muda, huo muda unaokesha twitter kumchamba mwenzio ni bora ungetumia kutafuta bwana mwingine angalau ata upate wa kukupeti peti na hali ya hewa hii ilivyo ihihiih kila mtu na wake!
TAFUTA WAKO DADA, HUYU SIO RIZIKI KASHACHUKULIWA NA TOTOZ YA KIBONGO..
CHEZEIYAA!!


Chek tweets zake lol! Anatia huruma maana anapayuka bila breki
PLZ: sipo upande wowote

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments: