Chama cha demokrasia na maendeleo Chadema kimelitetea baraza la mitihani la taifa kuwa lilikuwa sahihi katika kutumia mfumo wa kusahihisha mitihani ambao serikali imetuhumu baraza hilo kubadilisha utaratibu hali iliyosababisha matokeo mabaya kwa watahiniwa wa mtihani wa kidato cha nne mwaka 2012.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments: