UTENDAJI KAZI WA LOWASSA Vs WA SUMAYE KAMA WAZIRI MKUUMh Lowassa na Mh Sumaye Wote wawili walishakuwa Mawaziri wakuu katika Serekali ya Tanzania kwa vipindi Tofauti na Wote kwa sasa kwa njia moja ama ingine wameonesha nia ya kuwania Nafasi ya Uraisi wa Tanzania 2015.....Je Tukilinganisha Utendaji wao wa Kazi walipokuwa Mawaziri na Kuchukulia hicho ndio kigezo cha kumpa mmoja Uraisi Nani alifanya Vizuri Kati yao....Taja Kitu Kizuri unachokumbuka
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments: