MBUNGE WA ARUSHA MJINI GODBLESS LEMA AKAMATWA NA POLIS



Kamatakamata ya Viongozi wa CHADEMA baada ya huko Kahama na Iringa imeendelea hii leo baada ya mbunge wa Arusha mjini kamanda Godbless Lema kukamatwa na Polisi...

Hivi sasa anahojiwa na Jeshi la Polisi nitaendelea kuwajuza zaidi...


-----------------------------


Mbunge wa Arusha Mjini aliyekua ameitwa kituo kikuu cha Polisi Arusha mapema leo, ameachiliwa baada ya mahojiano ya muda mrefu na. Kamanda wa upelelezi kituoni. Hapo. Pichani Lema kwenye gari lake akitoka polisi mchana huu..
Jamii forums
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments: