FILAMU MPYA YA IRENE UWOYA - "QUESTION MARK" IMEACHIWA RASMI LEO.


Katika tasnia ya filamu nchini, jina la Irene Uwoya sii geni hata kidogo lakini filamu hii ya "Question Mark" ni ndiyo inayokufanya utahamaki zaidi kumtazama mwanadada Irene Uwoya.

Kwa habari zilizoifikia site hii ni kuachiwa kwa filamu mpyaaa ya muigizaji maarufu nchini anayekwenda kwa jina la Irene Uwoya, Filamu inaitwa "Question Mark" inapatikana sokoni
.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

BOXER YAOKOA MAISHA YA MUME ALIYETAKA KUJIUA,***MKE AMSHIKILIA KWA DAKIKA 20....


     Alikuwa kwenye "apartment" yake ghorofa ya sita huko              Changchun, China

The woman was forced to get a stronger hold on her husband and had to wait 20 minutes before police or firefighters could get to him
 Mke alimshikilia mume wake kwa dakika 20 kabla police na waokoaji hawajaja kumsaidia.


Rescuers managed to pull 45-year-old Wang Li to safety, who is understood to have been depressed about lack of work
                         Hapa akijitahidi na yeye kurudi ndani

Majira ya saa moja na dakika arobaini asubuhi,jumatano mwanaume aliyetambulika kwa jina la Wang Li alitaka kujiua kwa kujirusha dirishani kutoka ghorofa ya sita anakoishi. Aliporuka tu mke wake alimuwahi kwa kushika boxer yake na baadae alimshika mguu akiacha upande mwingine unaoonekana ukining'inia dirishani.
Polisi waliitwa lakini polisi hao wanne wa kwanza walishindwa kufungua mlango. Baadae kwa msaada wa majirani waliweza kubomoa mlango na kumvuta baba huyo na kumrudisha katika hali ya usalama. Baadae walikuja kujua kuwa Wang Li mwenye miaka 45 alichoshwa na maisha ya kukosa kazi na ndio maana alitaka kujiua.

Mke wake alishikilia mguu wa mume wake kwa dakika 20 kabla msaada haujaja,sio mguu mdogo ukizingatia alikuwa na urefu wa sentimita 175 na uzito wa kilo 65.
Majiran walikuwa wanachungulia madirishani ili waone tukio hilo.

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

MAJANGA!!!...MSICHANA AKAMATWA KWA KUFANYA MAPENZI NA MTOTO WA MIAKA TISA..!!

                                                         Mtuhumiwa Jalissa D. Baez

Jalissa D. Baez mwenye umri wa miaka 19 mwangalizi wa watoto huko Berks Pennyslvania,anatuhumiwa kwa kesi ya kufanya mapenzi na mtoto wa kiume mwenye miaka 9 ambaye aliajiliwa kumwangalia.

Jalissa amerudia mara nyingi kulala na mtoto huyo kwa miezi kadhaa,akimlazimisha kufanya nae mapenzi.Pia alimfanya mtoto huyo ahaidi kutosema siri hiyo.

Jalisa aliajiriwa na baba wa mtoto huyo kumwangalia mida ya jioni wakati yeye yuko kazini.Jalissa alimlazimisha mtoto huyo katika mazigira tofauti tofauti kati ya machi na juni wakati yuko peke yake akimuangalia. Alimnyamazisha mtoto huyo kwa miezi akimwambia kwamba kinachotendeka ni siri na ataingia matatizoni kama atamwambia mtu yeyote,alisema mpelelezi  Michael J. gombar.

Alipohojiwa na polisi , Jalissa alikiri kwamba ni kweli alikuwa anafanya mapenzi na mtoto huyo wa miaka 9 kuanzia machi hadi june mwaka jana.

Baba wa mtoto huyo aliwataarifu polisi ambao walianza upelelezi. baada ya muda wa miezi sita ambao waliata kibali cha kumkamata katika nyumba ya mama yake Jalissa Baez iliyoko block ya 300 mtaa wa Milller mwezi uliopita ambapo amekumbana na kesi zingine ikiwemo kulazimisha  mapenzi kwa mtoto, shambulio la aibu,kuhatarisha ustawi wa watoto na kujidhalilisha.


TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

 BBC WAOMBA RADHI KWA KUZIANIKA NYETI ZA PRINCE WILLIAM WA UINGEREZA



Shirika la habari la Uingereza BBC limeomba radhi kwa kile wanachodai kuwa walionesha kwa bahati mbaya video yenye picha ya Prince William wa Uingereza ikiwa imechorwa nyeti za mwanaume katika uso wake.


Inadaiwa kuwa siku ya Alhamisi asubuhi (August 1) kituo cha TV cha BBC kilirusha video ya wimbo “I Could Have Married Kate” ya kikundi cha muziki cha Comedy kiitwacho ‘Barbershopera’ bila wao kugundua katika video hiyo kuna picha inayomdhalilisha Prince William iliyochorwa nyeti za mwanaume katika uso wake.

Watazamaji ndio waligundua picha hiyo na kuanza kutweet kuhusiana na walichokiona.



Baadae BBC waliomba radhi kwa kusema ‘Barbershopera’ waliwaletea video hiyo na kwa bahati mbaya maproducer wao hawakugundua kasoro hizo mapema.


“the material was provided by Barbershopera but we failed to spot the offending material within it. We apologize for this.” BBC waliomba radhi mchana wa siku hiyo.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

"CHADEMA WANATAFUTA UMAARUFU KUPITIA JINA LANGU"...MWIGULU NCHEMBA


Kumekuwepo na jitihada za makusudi za chadema, baadhi ya magazeti yanayofanya kazi ya uenezi ya chadema na wafuasi wa chadema kufanya kila njama kunichafulia jina kwa sababu na manufaa yao wayajuayo wenyewe.

1) Leo (Alhamisi) wameibuka na kihoja kuwa Dr Slaa hatarini, wameweka na picha yangu. Hivi mimi nihangaike na Dr Slaa wa nini? Kwanza mimi ndio naanza siasa, na yeye ndio anamaliza, in no way he is a threat to me.
 I do not find him a competitor and he cant halt my political ambitions. Wengine wanadiriki kumpima slaa namimi, huyu sio saizi yangu na yeye anajua, hana kipaji and and he is outdated.
 Am 38 yrs old and he is around 70 years, WHO WAS SLAA WHEN HE WAS AT THE AGE OF 38 yrs (my age), no body. WHERE WILL I BE 2YEARS TO 
10 YEARS FROM NOW? 
KAMA SASA TU CHADEMA NZIMA KUANZIA MAKAO MAKUU MPAKA VIJIWEN KWAO agenda ni MWIGULU, MWIGULU.? YOU PEOPLE TAIFA HILI LINA MASWALA MENGI YA MHIMU, STOP MAKING MWIGULU AN AGENDA FOR YOUR PARTY.


2) Majuzi hivi bila aibu mkasema Mwigulu anahusika na kulipua bomu mkutano wenu,kisa Nilikwepo Arusha. May 5 pia nikiwa Ethiopia kuna bomu lililipuliwa hapohapo ars mbona hamlisemi nani alilipua hilo.

 Zote hizi ni jitihada za kufunika uovu wenu mkidhani kwa kuwa nawasema kuhusu ugaidi wenu basi mkigeuza kibao nitaacha. IT IS NEITHER MY NATURE NOR MY CHARACTER TO BE AFRAID. 

This won't stop me, subirini kesi ianze watanzania watawajua cos mtu wenu alikiri kila kitu ninyi mnacheza na akili za watu tu kwa propaganda kwa manufaa ya kisiasa. 

Eti anavaa kofia ya china na bomu lilitengenezewa china hivyo anaweza kuwa mhusika. What a myopic statement? Mbona simu za kichina mnazo? Zinauhusiano na mabomu?

3) Red Brigade nayo mmeshindwa kusema kwanini MKT wenu alisema hamtategemea polisi wala Jeshi la wananchi? Hii ndio tofauti na greenguard, badala yake hoja imekuwa Mwigulu mpaka mnatengeneza na picha za kuunga.

4) Hata mkanda ule mnasema nilimpanga mtu arekodi mazungumzo, sawa, je nilimpagia na kiongozi wenu aseme yale aliyoyasema? Au hata hamjui alisema nini? Cos alishakiri yote kwenye maelezo yake polisi, je nilimpanga naye aseme yale ili arekodiwe? 


Hivi vijana wa chadema nani kawaroga? Mpaka you a missing even such a plain fact. Be informed that God has a complete plan of my life. You can not tarnish or halt it. I will move from Glory to Glory. 

TUTAHESHIMIANA TU.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

 WASHIRIKI WENGINE WA BIG BROTHER WANASWA WAKINGONOKA KAMA MBWA



 
Video  nyingine  ya  washiriki  wa  big  brother  imenaswa  live  wakingonoka  kama  mbwa....

Katika  video  hiyo, Angelo na Beverly wanaoneka   wakitenda aibu  hiyo  wakiwa  bafuni  wakati  wa  kuoga....

Video  iko  hapo  chini.....

Ukitaka  kui download, ingia  jukwaa  la  wakubwa hapo chini


TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

BILIONEA WA HOME SHOPPING CENTRE ALIYEMWAGIWA TINDIKALI DAR HALI TETE...!!

Rais Kikwete akimjulia hali mmiliki wa Kampuni ya Home Shopping Centre, Said Mohamed Saad.

Said ambaye ndiye mmiliki wa Kampuni ya Home Shopping Centre, yenye maduka mengi makubwa ya vitu vya nyumbani ndani ya Dar es Salaam na mikoa kadhaa ya Tanzania, anaendelea na matibabu nchini Afrika Kusini lakini mmoja wa watu waliomshuhudia, amefafanua jinsi hali ilivyo mbaya.
“Ameungua sana, tunatarajia kati ya kesho au keshokutwa (wikiendi iliyopita) atafanyiwa oparesheni ya jicho. Jamani tindikali ni mbaya sana, usimmwagie mwenzako. Ndugu yetu ameharibika sana,” kilisema chanzo chetu kwa ombi la kutotajwa jina gazetini, kikaongeza:
“Kila anayemjua vizuri, anapomwona anamwaga machozi. Picha za jinsi alivyoathirika baada ya kumwagiwa tindikali zimevuja mpaka kwa familia, ni kilio kwa ndugu. Wanawake wanalia zaidi.”

JK ATINGA HOSPITALI
Wiki iliyopita, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, alikuwa kwenye ziara ya kikazi nchini Afrika Kusini alipokwenda kuhudhuria Mkutano wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini ya Afrika (SADC).
Mkutano huo ni wa Pande Tatu za SADC (Troika of SADC) na akiwa huko, alipata fursa ya kwenda kumjulia hali katika hospitali aliyolazwa ambayo haijajulikana jina.
Chazo chetu kilisema: “Rais Kikwete alisikitika sana. Wakati anatoka wodini alisonya. Alionesha jinsi alivyosikitishwa na unyama aliotendewa Said.

Bilionea Said Mohamed Saad akiwa hospitali.

WAPELELEZI WAMWAGWA KARIAKOO

Kamanda wa Mkoa wa Kipolisi, Kinondoni, Dar es Salaam, ACP Camillius Wambura aliwaambia waandishi wetu wiki iliyopita kwamba jeshi linaendelea kufanya kazi yake kuhakikisha linampata mhusika wa unyama huo.

Mpaka sasa tuseme ukweli hatujampata mtuhumiwa au kitu kinachoonesha mtuhumiwa alivyo lakini kazi inafanyika. Tupo makini kwelikweli na tumeweka mkazo wa hali ya juu,” alisema Wambura.

Kwa upande mwingine, chanzo chetu ndani ya jeshi la polisi kimehabarisha kuwa idadi kubwa ya wapelelezi wamemwagwa Kariakoo, Dar es Salaam.

“Kuna mambo yanazungumzwa kuhusiana na tukio la Said kumwagiwa tindikali, yanafanyiwa kazi. Kutokana na ukweli kwamba msingi wa biashara za Said ni Kariakoo, vilevile kwa sababu inatambulika kuwa eneo hilo lina wafanyabiashara wengi, imebidi kulimulika kwa undani kabisa.

“Inawezekana ni chuki za kibiashara. Yaani aliyemtendea, ama alimshambulia au alifanya kulipa kisasi kutokana na vita ya kimaslahi. Hili suala tunaliangalia kwa upana sana ndiyo maana wapelelezi wamemwagwa Kariakoo.

“Wanachunguza kila taarifa. Kila kinachozungumzwa kinafanyiwa kazi na wale ambao itaonekana upo ulazima wa kuwakamata, watakamatwa ili kuisaidia polisi kufanikisha kumpata mtu ambaye alihusika na kummwagia tindikali yule bwana wa Home Shopping Centre,” kilisema chanzo chetu.

DAR YOTE INAPELELEZWA

Kwa mujibu wa chanzo chetu, pamoja na upelelezi kuwekewa mkazo Kariakoo lakini kazi ya kumsaka mhalifu aliyemfanyia unyama Said, inafanyika ndani ya jiji lote la Dar es Salaam pamoja na mikoa ambayo taarifa zitaelekeza.

“Kipindi chote ambacho upelelezi unafanyika, pengine zitaibuka taarifa zinazoelekeza mikoani ili kumpata mtuhumiwa, polisi watafika kote. Ukweli ni kwamba siyo tukio hili tu, jeshi la polisi limekuwa imara kufanyia kazi kila aina ya uhalifu.

“Pamoja na ugumu wa kumpata mtu hasa aliyemmwagia tindikali kutokana na mazingira yalivyokuwa, hilo halifanyi tukae kimya na tuache hili suala lipite. Maisha ya watu yanathaminiwa sana, unyama wa kuwadhuru wengine kwa vitu hatari kama tindikali, haukubaliki ndani ya polisi,” kilisema chanzo chetu na kuongeza:

“Maswali kuhusu aliyemmwagia tindikali hiyo, nani mhusika pamoja na sababu ya huyo aliyemmwagia tindikali, pengine ni mambo ambayo yanahitaji muda zaidi. Polisi wafanye kazi, mafanikio yake, yatatanzua utata wote.”

SHEMEJI MTU ATAJWA

Huku upelelezi ukiendelea, zipo taarifa kwamba mtu mmoja anayedaiwa kuwa shemeji wa Said, anatakiwa kuhojiwa kwani alishawahi kuripotiwa kuwa na uhusiano mbaya.

Ilibainishwa kwamba kumpata mhusika wa unyama huo, ni lazima kila aliyewahi kuripotiwa kuwa na tofauti za kijamii au kibiashara na Said, akamatwe na ahojiwe ili kuisaidia polisi.

“Yule shemeji yake ilishaelezwa waligombana sana. Mitandao ya kijamii ikaandika sana. Polisi hawatakiwi kudharau taarifa. Wamfuatilie huyo shemeji mtu, ahojiwe kwa makini,” alisema mfanyabiashara mmoja wa Kariakoo (jina tunalo), akaongeza:

“Siyo huyo shemeji yake peke yake, hata watu wengine wenye historia ya kugombana na Said, nao pia wamulikwe. Hili jambo ni nyeti, tena zito sana. Kumtenda binadamu ukatili wa kiwango hicho ni suala ambalo haliwezi kuvumilika.”

BODABODA TISHIO KWA NCHI

Said, alimwagiwa tindikali Julai 19, mwaka huu akiwa kwenye moja ya maduka yake katika Jengo la Msasani Mall, Dar ambalo nalo inadaiwa yeye ndiye analimiliki.

Taarifa za siku ya tukio zilibainisha kwamba Said alikuwa akizungumza na mfanyakazi wake mishale ya saa 1 jioni ndipo akatokea kijana mrefu, mwembamba ambaye alimmwagia kimiminika kinachosadikiwa kuwa ni tindikali.

Ilibainishwa kwamba mfanyakazi huyo wa Said, Hassan Ahmad naye alijeruhiwa kidogo katika purukushani hiyo lakini alipopelekwa Hospitali ya Ami Wellness Centre, alitibiwa na kuruhusiwa huku bosi wake akipelekwa Afrika Kusini usiku huohuo.

Kwa vile mtu aliyemmwagia tindikali Said alifika eneo la tukio na pikipiki, Kamanda Wambura (RPC Kinondoni), alisema kuwa uhalifu kwa njia ya usafiri huo ni mkubwa sana, kwa hiyo kuna taarifa inaandaliwa.

“Uhalifu wa pikipiki hususan bodaboda ni tishio kwa nchi yetu kwa sasa, kuna taarifa inaandaliwa na itatolewa baadaye kuhusiana na mwongozo wa usafiri huo pamoja na namna ambavyo kama nchi, tutakabiliana na uhalifu kwa njia ya bodaboda.

“Kwa sasa mamlaka husika zinakaa. Zinajadili, siyo suala la kupuuza kabisa. Majambazi sasa wanatumia pikipiki, tunashuhudia kwamba hata watu wanaotaka kutekeleza njama za mauaji, nao wanatumia bodaboda. Ni hatari sana,” alisema Wambura.

Gazeti la uwazi linamwombea apone haraka, linamtambua Said kama mfanyabiashara na mlipa kodi wa nchi yetu ambaye mchango wake ni mkubwa katika kulipa afya taifa kwa upande wa mapato na bajeti yake kwa jumla.

Said, vilevile ni mhisani wa kijamii, kwani kupitia kampuni yake ya Home Shopping Centre, aliwasaidia sana waathirika wa mafuriko ya Bonde la Mto Msimbazi, mwaka juzi.

Mfanyabiashara huyo, aliipa kila familia seti ya vyombo vya nyumbani pamoja na taa zinazotumia nishati ya mwanga wa jua.

Familia hizo ambazo idadi yake ilikuwa 655, zilipohamishiwa Mabwepande, Wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam, Said alijenga madarasa ya shule ya msingi kwenye eneo hilo ili kusaidia upatikanaji wa elimu na kurahisisha huduma za kijamii.

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

VAZI LA NUSU UCHI LAZUIA NDOA KUFUNGWA JIJINI DAR. **PADRI AGEUKA MBOGO NA KUWATIMUA WAPAMBE

KIVAZI cha ndugu wa maharusi, kimesababisha patashika katika Kanisa Katoliki, Parokia ya Mtakatifu Peter, baada ya Paroko Msaidizi wa Kanisa hilo, Padri Paulo Haule, kusitisha ibada mpaka mhusika atoke akavae vizuri.


“Ninatoa dakika 10 kwa aliyeingia na mavazi ambayo hayatakiwi kanisani humu kutoka mara moja akavae vizuri, la sivyo ndoa yao haitafungwa,” alisema Padri Haule wa Kanisa hilo lililoko Oysterbay, Dar es Salaam.


Awali vurugu hizo zilizotokea Jumamosi iliyopita, zilianzia nje, wakati Katekista wa Parokia hiyo, Yohane Maboko, alipotangazia wanandoa na ndugu zao waliokuwa mabega wazi au kuvaa nguo fupi, kutafuta nguo za kujifunika au wasiingie kabisa kanisani.


Maharusi walikubali kutekeleza ombi hilo, wakavishwa vitambaa mabegani vya rangi tofauti na gauni jeupe la harusi, wakaruhusiwa kuingia kanisani, tayari kufunga pingu zao za maisha.


Hata hivyo, mmoja wa ndugu wa maharusi hao ambaye jina lake halikupatikana mara moja, alipotaka kulazimisha kuingia na kivazi chake cha mabega wazi, alizuiwa na Katekista Maboko. Katekista huyo alimfuata mwanamke huyo ili kumrudisha akavae vizuri, lakini aliibua zogo na kulazimisha kuingia na vazi hilo.


Zogo hilo lilipoendelea, wanandugu waliingilia kati, wakitetea vazi hilo ambapo mmoja wa wanandugu, alimvua miwani Katekista Maboko na kuipiga chini ikavunjika huku yeye na wenzake wakimtolea maneno makali ya kumtaka asimzuie ndugu yao kuingia kanisani. 


Wakati ndugu hao wakimdhibiti Katekista Maboko, mwanamke huyo alitumia mwanya huo na kupenya hadi ndani ya Kanisa, ambamo Padri Haule, alikuwa akijiandaa kuanza ibada.


Baada ya Padri Haule kupata taarifa, alitangaza kuwa ndoa ya maharusi wa msichana huyo, haitafungwa hadi awe ametoka. 

Licha ya Paroko kutangaza hivyo, bado ukaidi uliendelea jambo lililomfanya Katekista Maboko kumfuata tena dada huyo na kumwamuru atoke nje, ambapo aliendelea kupinga na baadaye akatekeleza amri hiyo ya Paroko.

 Baada ya hapo shughuli za kufungisha ndoa ziliendelea kwa amani na utulivu hadi mwisho maharusi wakatoka kwenda kuendelea na mambo mengine.


Akizungumza na mwandishi wetu, Katekista Maboko alisema waumini hao walikiuka maadili ambayo Kanisa lina wajibu wa kulinda na kuyasimamia ili waumini wake wayafuate. 


Alisema miwani yake iliyovunjwa ilikuwa na thamani ya Sh 90,000 na baada ya ibada hiyo, aliyetenda kosa hilo alimwendea na kumwomba radhi na kulipa Sh 50,000 na kuahidi kumalizia kiasi kilichobaki wakati wowote.


Maboko alisema uvaaji wa mavazi yasiyotakiwa kanisani hapo, umekuwa ukipigiwa kelele mara kwa mara, na hata katika mafundisho ya ndoa huambiwa lakini ukaidi unaendelea. 


“Maharusi wakati wa mafundisho ya ndoa tunawaambia kuhusu mavazi yao na hata ya ndugu zao watakaowasindikiza kanisani, kuwa wavae kistaarabu lakini hawasikii,” alisema Katekista Maboko. 


Makanisa mengi siku hizi yamekuwa yakipiga marufuku uvaaji wa nguo fupi na zinazoacha mabega wazi kwa wasichana na wanawake, wakati wa ibada za kawaida na za ndoa.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

HUYU NDIO MSANII ALIYETANGAZA KUMPORA MUME ** AUNT EZEKIEL.

KATIKA hali isiyo ya kawaida msanii anayechipukia katika filamu za Kibongo, Isabella Fransis ‘Vai wa Ukweli’ anamtafuta ubaya gwiji katika tasnia hiyo, Aunt Ezekiel kwa kusema anamtamani mumewe.


Vai wa Ukweli bila ya kupindisha maneno amedai kuwa hapati usingizi kutokana na kumzimia Sunday Demonte ambaye ni mume wa Aunt.

Akizungumza na mwandishi wetu, Vai alisema ili kuonesha kuwa anachokisema kinatoka moyoni mwake, amekata vipande vya picha za Dimonte na kuvibandika chumbani kwake.
 “Kusema ukweli nampenda sana Sunday na sijaanza kumpenda leo wala jana kwani namfahamu tangu zamani alipokuwa Kariakoo,” alisema Vai.


Msanii huyo chipukizi alisema anamuonea wivu Aunt kwa kuamini kuwa anafaidi sana kwa kuwa na mwanaume huyo.
 

Kwa upande wake Aunt alishangazwa na taarifa hizo na akaomba atafutwe baada ya kumalizika kwa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani ili ajue cha kufanya.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI WANASWA LIVE WAKIFANYA MAPENZI VICHAKANI

Wanafunzi wa shule moja ya msingi walinaswa wakifanya ngono kichakani huku wakiwa bado wamevaa unfom za shule kitu ambacho kinaendeleza matukio ya kumomonyoka kwa maadili hasa kwa jamii ya kiafrika 

Now, children are beginning to do what is not supposed to be done or talked about at their age, but the blame we don't feel should be put on them, because most of them is frompeer pressure, seeing it's too much in their daily lives that they now think its normal and so many other things.

It was not long ago that we saw two students kíssing in class, guess that one was only a little.

Here these two secondary school students are doing it in the forest within their school. These days, its not much of a big deal, and if people don't come to see what they are doing by allowing students watch bad movie which nollywood producers have began to show like this one "Bold 5 Babes" then the future will only be worse.


TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea.

Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”.

Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja.

Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine wasijue hata utamu huo ukoje ???
BOFYA  HAPO  CHINI   KUINGIA  KATIKA  JUKWAA  LA  WAKUBWA LENYE  ELIMU  YA  MAPENZI...
<<  BOFYA  HAPA >>

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

"KESI DHIDI YA WAZIRI MKUU HAINA MANTIKI....SIJAONA SEHEMU ALIYOVUNJA SHERIA"...DPP


MKURUGENZI wa Mashitaka (DPP), Eliezer Feleshi, amesema haoni mantiki yoyote au uhalali wa Kituo cha Haki za Binadamu (LHRC), kumshitaki Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.


Alisema hayo janai wakati akijibu maswali ya waandishi wa habari, baada ya kufungwa kwa mkutano wa siku tatu wa mawakili wa Serikali wafawidhi, wakuu wa upelelezi wa mikoa na vikosi vingine vya Polisi Alisema kauli aliyotoa Pinda bungeni, alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Kilwa Kaskazini, Murtaza Mangungu kuhusu Polisi kutumia nguvu kwa wananchi, ililenga wanaokaidi kukamatwa na kufikishwa mbele ya sheria na si kupiga na kuua kama ilivyotafsiriwa na wengi.
 
“Sijapata taarifa kwa maandishi juu ya azma ya kumshitaki Waziri Mkuu, lakini Pinda hajavunja sheria kwa kauli yake aliyotoa,”alisema.


Alisema kwa jinsi alivyosikia maelezo ya Waziri Mkuu bungeni, kama LHRC wanamshitaki kwa jinai Waziri Mkuu, haoni uhalali wa mashitaka hayo. 


Usahihi wa Pinda Alisema Waziri Mkuu alieleza hatua zinazochukuliwa dhidi ya mvunja sheria, na kufafanua kuwa Mtanzania yeyote ana haki kwa mujibu wa sheria, lakini pia ana wajibu, ndiyo maana vipo vyombo na kila chombo kimepewa mamlaka na wajibu wa kutekeleza.


Alifafanua, kwamba kilichoongelewa ni dhana ya mkusanyiko ambayo ni haki kwa mujibu wa Katiba, ikiwemo uhuru wa kukutana, kutoa mawazo na kufanya mawasiliano.


Hata hivyo, alikumbusha kuwa Sheria ya Jeshi la Polisi, inasema ili mkusanyiko ufanyike, lazima taarifa itolewe kwa kiongozi wa Polisi wa eneo husika.
 
Sheria hiyo inasema, kama mkusanyiko una nia ya kutenda kosa na ikafanyika hivyo, kuna chombo kilichopewa dhamana ya kuhakikisha mkusanyiko haramu unatawanyika na sheria hiyo inaruhusu Polisi kutawanya mkusanyiko haramu.


“Unatarajia nini kama kuna watu wanafanya fujo na polisi wana mamlaka ya kuwakamata waliofanya fujo?” Alihoji Feleshi na kuongeza kuwa dhana ya matumizi ya nguvu ni ya kisheria pia.


Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema, akizungumza kwa simu na gazeti hili, alisema utaratibu wa Polisi kulazimika kutumia nguvu upo. Aliutaja utaratibu huo kwamba unatumika hasa katika mikusanyiko isiyotakiwa, ambapo Polisi hulazimika kutoa tangazo la angalizo mara kadhaa kutaka watu watawanyike.
“Tangazo linapotolewa, Polisi kwa kutumia kipaza sauti husema, tawanyikeni, tawanyikeni na kusisitiza hivyo mara kadhaa, hapo wanaopaswa kutawanyika wakikaidi, nguvu hutumika ingawa inaweza isiwe ya kupiga risasi, pengine virungu, yote hiyo si kupiga?
“Risasi ni kitu cha mwisho, labda uwe unashambuliwa wewe (polisi), hata ikiwa hivyo, ukipiga risasi kuna maeneo ya kupiga, si kichwani, polisi wana mafunzo ya kupiga maeneo ya miguuni, hivyo kutumia nguvu kwa polisi kupo,” alisema Jaji Werema.

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

MWANAMKE MWINGINE WA KITANZANIA AKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA ZIMBABWE

A 34–year–old Tanzanian woman was last week arrested at the Harare International Airport after she was found in possession of an illicit drug with a street value of $45 000 upon arrival from India.

SENIOR REPORTER
Demu mwingine wa Ktz anaeishi South Africa kwa Jina la Jackline Mollel akamatwa na madawa ya kulevya nchini Zimbabwe.........

Duh,,,,, hivi hii kitu ya madawa imeingia kama fashion ya nguo  eeeh???

Hivi how desparate do you have to be to do this???? AU Niseme how stupid does one need to be kufanya hii kitu??

Soma kilichoandikwa na Website Maarufu Zimbabwe hapa chini:
A 34–year–old Tanzanian woman was last week arrested at the Harare International Airport after she was found in possession of an illicit drug with a street value of $45 000 upon arrival from India.
SENIOR REPORTER
Mollel Jackline Richard, who stays in South Africa, was not asked to plead when she appeared before Harare magistrate Donald Ndirowei yesterday.
She was remanded in custody to July 27.
Richard was allegedly found in possession of 15kg of ephedrine which stimulates the heart and nervous system. It is often found in herbal and diet pills.
The State alleged that Richard arrived at Harare International Airport aboard an Emirates flight from India.
The alleged drug pusher produced her passport at the immigration desk at the airport where an alert officer tipped CID Drugs detectives that Richard had a visa for India which is a known source for illicit drugs.
The court heard that Richard was taken for interviewing and during a search conducted on her by detectives they recovered 30 khaki envelopes containing a whitish substance which was wrapped with fabric sheets inside a maroon bag.
Tests were conducted on the substance and revealed that it was ephedrine. The drug was then taken for recording and weighing.

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

LORI LA MAFUTA LAPINDUKA NA KUZUA KIZAA ZAA KUGOMBEA MAFUTA...!!


 Lori lenye namba za usajili  T97 AJL lenye tela namba T746 BKF lilipo acha njia na kupinduka na kuziba njia
 
Lori  likishindwa kupita baada ya Mafuta kumwagika Barabarani na kusababisha barabara kushindwa kupitika
 
Magari yakipita kwa shida baada ya Lori kudondoka
 
Askari wakijitahidi kukabiliana na watu waliokuwa wanachota mafuta

Endelea kutizama tukio hili kwa kubofya hapa chini

Shughuli za uokoaji zikiendelea kulia ni Dereva wa Lori hilo baada ya kunusurika
 
Dereva wa gari hilo Hassan Abdi (35) akiwa haamini kilicho tokea baada ya Kunusurika kifo



YALE YALE!!! Wananchi  wenye ndooo Haya.... Wenye Madumu haya .... wenye Masefuria haya... wote walikuwepo kuchota Mafuta kama inavyo onekana ... bila kujali kama yaweza kulipuka 
 
Wananchi Mbalimbali wakiwa wanapata shida kupita baada ya Lori kudondoka

Askari wa zima moto wakiwa wanaendelea na Juhudi za kuondoa mafuta barabarani kwa maji 
Wananchi mbalimbali wakiwa wanaondoka na Mafuta... huku wengine wakiendelea kuchota
 
Wakina mama... Watoto... Vijana na wazee wakiwa wanapata shida jinsi ya kupita baada ya ajali
 

Kushoto ni Tingo Saimoni Msovela (23) na dereva wake Hassan Abdi wakijitahidi kuziba mafuta yasiendelee kuvuja
Tingo wa Lori hilo la mafuta baada ya kuokolewa kutoka kwenye Gari.

Watu wawili wamenusurika kifo baada ya roli la mafuta lenye namba za usajili T 978 AJL lenye tela namba T 746 BKE Aina ya SCANIA walilokuwa wakisafiria kutoka DAR ES SALAAM kwenda ZAMBIA kuacha njia na kupinduka katika mteremko wa MBALIZI barabara MBEYA TUNDUMA.
Dereva ametambuliwa kwa jina la HASSAN ABDI 35 na msaidizi wake SAIMON SOVELA 23 ambao walikuwa wametokea DAR ES SALAAM kuelekea ZAMBIA likiwa limejaa shehena ya mafuta
Kwa mujibu wa Dereva amesema kuwa gari hilo ghafla lilipoanza kuteremka mteremko liliharibika mfumo wa breki na mbele yake kukiwa na magari matano baada ya kuona kuwa angesababisha maafa makubwa aliamua kulichepusha pembeni ndipo lilipoacha njia na kupinduka na kumwaga shehena ya mafuta.
Kikosi cha zimamoto kilifika eneo la tukio na kuhakikisha usalama wa eneo hilo kuhofia mlipuko wa moto ambao ungeweza kutokea kutokana na baadhi ya wananchi kuanza kuchota mafuta yaliyokuwa yanatiririka.
Pamoja na juhudi za Jeshi la Polisi kudhibiti wananchi kutochota mafuta lakini wananchi walikaidi na kuendelea kuchota mafuta.
Ajali hiyo ilisababisha adha kubwa kwa wasafiri waliokuwa wana pita barabara hiyo wakiwemo wagonjwa na waliokuwa wanawahi usafiri wa ndege majira ya saa saba mchana.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

BAADA YA ROSE NDAUKA KUHUSISHWA KATIKA FUMANIZI.....HAYA NDIO MANENO YA MCHUMBA WAKE ROSE KUHUSU SAKATA HILO...



BAADA ya msanii wa filamu nchini Rose Ndauka kuripotiwa kufumaniwa akiingia gesti na msanii chipukizi wa muziki wa bongo fleva Nassoro Ayoub 'Dogo Nasry' huku akiwa amevaa baibui kipindi hiki cha mwezi mtukufu wa Ramadhani,  mumewake mtaarajiwa Maliki Bandawe 'Chiwaman' amjia juu msanii huyo kwa madai ya kumchafua mpenzi wake.

Akizungumza jijini Dar es Salaam Chiwaman aliweka wazi kuwa msanii huyo Nasry ambaye alimuomba Rose aweze kushiriki kwenye video yake, walishindwa kufikia maamuzi kutokana na kiwango cha malipo kuwa madogo, na badala yake msanii huyo alimuomba wapige picha kama ukumbusho.

Alisema kuwa kitendo hicho cha kupiga picha na msanii huyo wakati wapo katika mazungumzo ya awali ya kukubaliana malipo ndizo picha alizotumia msanii huyo na kudai kuwa alikuwa naye nyumba ya wageni kitendo ambacho si cha kweli.

"Hawa wasanii wachanga wanatafuta umaarufu vibaya kwa kuwachafua watu, ilikuwa amemuomba Rose ashiriki kwenye video yake na ndipo walipokutana kwa ajili ya mazungumzo hayo na alikuwa na mdogo wangu sasa hapo masuala ya gesti yametokea wapi" alisema Maliki.

Aliongezea kuwa "kama nilikuwa sijui hicho kitu na kwa jinsi mambo yalivyokuwa ningeweza kumuacha mchumba wangu ninayempenda kwa dhati, ila msanii huyo alichokifanya siyo jambo sahihi, kwani alimuomba apige naye picha na Rose alikubali huku bila kujua nia yake ".

Maliki alisema kuwa huyo msanii anatafuta umaarufu kwa kuchafua majina ya watu wengine, kitu ambacho hakina mashiko kwenye jamii.


TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments: