LADY JAYDEE AMTUKANA MWANA FA KWA KUMUITA " MWANA FAtuma" HUKU AKIMTANDIKA VIJEMBE KWA KUUZA SURA JANA
Lady Jaydee amemshambulia vibaya MwanaFA. Chanzo cha kuanza kumpa
makavu Live ni pale MwanaFA alipo-Retweet post ya shabiki yake mmoja
ambaye aliikejeli Show ya Jide kuwa ni Fundraising, ambapo MwanaFA
aliongezea neno ‘Daaaamnnn’ kwenye Post hiyo.
Mambo yalizidi kuwa
mabaya baada ya MwanaFA ku-Retweet post ya shabiki wake mwingine
aliyedai kwamba Lady Jaydee anawalipa watu buku buku ili wamponde
MwanaFA.
0 comments: