HIVI NDIVYO MAELFU WALIVYOUPOKEA MWILI WA ALBERT MANGWEA KWA MAJONZI MAZITO...!!

HIVI NDIVYO MAELFU WALIVYOUPOKEA MWILI WA ALBERT MANGWEA KWA MAJONZI MAZITO...!!

Tuesday, June 4, 2013 | 4:08 PM

Wadau mbali mbali wakiwa wamekusanyika kwa wingi kwenye uwanja wa Ndege Julius Nyerere kwa ajili ya kuupokea Mwili wa Marehemu Albert Mangwea uliowasili mchana huu kutokea nchini Afrika ya Kusini.

MWILI UKIINGIZWA KWENYE GALI TAYARI TUMESHAANZA KUONDOKA HAPA UWANJANI KUELEKEA MUHIMBILI.
 
 

Gari iliyobeba mwili wa Marehemu Albert Mangwea ikisukumwa na Mashabiki wake kutoka kwenye Sehemu ya maalum iliyokuwa imehifadhiwa maiti hiyo.Mwili wa Marehemu Mangwea umepelekwa kuhifadhiwa kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili,ambapo taratibu za kuuga mwili huo zitafanyika kesho kwenye Viwanja vya Leaders Club,Kinondoni jijini Dar kuanzia asubuhi.
Msafara ukielekea Muhimbili.
Gari maalum la Kubeba Mwili Msanii wa Muziki wa Kizaki Kipya,Marehemu Albert Mangwea likiwa tayari tayari kwa kubeba mwili.
Wadau kibao wapo uwanja hapa hivi sasa tayari kwa kuupokea Mwili wa Marehemu Mangwea.
Rafiki kipenzi wa Marehemu Albert Mangwea,Jay Mo akihojiwa na vyombo vya hapari uwanjani hapa.
Prof. Jay nae alipata wasaha wa kuongea na vyombo vya habari juu ya Msanii mwenzao Albert Mangwea alietangulia Mbele ya haki.
Wadau.
Watu kutoka kila pembe ya jiji la Dar wakiwa uwanjani hapa kuupokea mwili wa Msanii wao.
Wanahabari wakitafakari jambo.

Wakiwa wamejipanga tayari kwa kuubeba mwili wa Marehemu Mangwea.
Mkurugenzi wa Zizzou Fashion,Othman Tippo (kushoto) akizungumza na mmoja wa wadau waliofika uwanjani hapo.
Wasanii mbali mbali wapo uwanjani hapa hivi sasa.
Madee akimzungumzia Marehemu Mangwea.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments: