HII NDIO LIST YA WABUNGE WATANO WANAOCHANGIA SANA BUNGENI NA WATANO WASIOCHANGIA



UCHAMBUZI UMEONYESHA KWAMBA WABUNGE WANAOTOKA KATIKA VYAMA VIDOGOVIDOGO NA VYENYE VITI VICHACHE HUWA NA WASTANI WA JUU ZAIDI WA USHIRIKI. TATHAMINI HII INAZINGATIA USHIRIKI ULIOFANYWA NA WABUNGE KATIKA MIAKA MIWILI YA KIPINDI CHA UBUNGE CHA 2010 – 2015. 

WABUNGE WANAWEZA KUSHIRIKI KWA NAMNA TATU: KWA KUULIZA MASWALI YA MSINGI, MASWALI YA NYONGEZA NA KUTOA MICHANGO. KATIKA NAMNA ZOTE HIZI, TLP AMBACHO KINA MBUNGE MMOJA NA NCCR-MAGEUZI WATANO, , VILIKUWA NA KIWANGO KIKUBWA ZAIDI CHAA USHIRIKI KWA MBUNGE. 

HATA HIVYO, UKIONDOA VYAMA VIDOGOVIDOGO VYENYE CHINI YA ASILIMIA 5 YA UWAKILISHI BUNGENI, CHADEMA KINAFANYA VEMA ZAIDI, KIKIFUATIWA NA CUF NA CCM.

 

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

1 comment:

  1. Kwa kuwa chama chama tawa ndicho kimeshika makali basi wange kuwa wa kwanza kuwa tetea watanzania lakini badala yake ndo wakwanza kuwa kandamiza watanzania wasio na hatia

    ReplyDelete