"BABY NIMEKWAMBIA NIPELEKE CHOONI"....ILIKUWA NI KAULI YA MPENZI WANGU KABLA HAJAVAA NGUO NA KUONDOKA


Nimekuwa    katika  mahusiano  kwa  muda  mrefu na binti  mmoja ambaye siku  zote  huwa  tunafurahia  mahusiano  kama  kawaida  na  hajawahi  niambia  mambo  ya   chooni...

Kilichonichanganya  ni  hili  tukio la  jana  ambalo  limenifanya  nivunje  ukimya...

Wakati  tunavunja amri ya sita baada tu ya kumaliza first round tulipumzika  kama  kawaida  ili kujiandaana second round....
Wakati   niko tayari kwa second round, mrembo wangu  aliomba  nimpeleke  chooni..."BABY NIPELEKE CHOONI"...
Nikamwambia "afadhali umesema mapema kabla sijaanza second round maana ungenikata stimu, haya baby twende..."
Nilivyo  mwambia  hivyo huku nikiwa nimesimama , mwenzangu aligoma, akarudia tena, "BABY NIMEKWAMBIA NIPELEKE CHOONI"....!!
Nikamwambia :"sasa si uamke twende? ..Nilivyosema  hivyo, binti alianza kuniangalia kwa jicho la hasira  na baadae akavaa nguo zake akatoka kwa jazba...
Kusema  kweli  nilipigwa na butwaa huku  nikiwa  sielewi  kinachoendelea.Baada ya muda kidogo alinitumia  text  inayosema hivi:

    "Mwanaume gani wewe  huelewi...!!!  siamini kama ni mshamba kiasi hicho. Next time nikikwambia NIPELEKE CHOONI maana yake ubadilishe mlango"

 Kumbe  maana  yake  ilikuwa kumpeleka chooni ni kumuingilia kinyume na maumbile,kitu  ambacho  niliapa  kutotenda  maishani  mwangu....

Naombeni  ushauri  au mtazamo  wenu.Binti  bado  nampenda  na  tuna share  vitu  vingi  sana...Najaribu  kuachana  naye  lakini  nashindwa  na  Kumpeleka  chooni  siwezi  hata  kwa  dawa..!!
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

2 comments:

  1. ypole sana best huyo hakupendi na mpaka hapo tayari umeshamuona huyo yuko vipi,hafai huyo ni changudoa best kama wewe haujawahi kumfanya kinyume na maumbile yeye kwa nini awe anataka?huyo atakuua wewe kwanza hata kondomu hutumii utakufa acha ujinga unampenda kitu gani kwani yeye ananini hasa cha kukufanya uenddelee kumkumbatia?kama mliahidiana kuoana achana nae atakuua wewe?hiyongoma hautaiweza ni mashine tata wewe jombaa.achana nae utakufa siku ci zako.

    ReplyDelete
  2. amakweli dunia wa dha bin adam shujaa. wapi tunaerekea jamani, someni bible mjue nini mpinga christ anaoyalenga

    ReplyDelete