BAADA YA KUTANGAZA KUMPIGA CHINI ZITTO, DIVA WA CLOUDS AMKEJELI ZITTO KUPITIA INSTAGRAM....SOMA ALICHOKIANDIKA HAPA



 Baada ya kutangaza  kumpiga  chini  Mh.Zitto Kabwe, Loveness  Diva  ameamua  kumchokonoa  tena  kwa  kumkejeli  kuhusu  uamuzi  wake wa kugombea Urais.....

Huu  ni ujumbe wake aliouweka instagram:

 ".Ivi  kwa akili yako unadhani  unastahili  kweli  kuwa Rais mteule wa taifa  hili....??
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments: