INASIKITISHA WATOTO WATEKETEA KWA MOTO WAKIWA WAMELALA TABORAWatoto hao walipokuwa wamelala na kuteketea kwa moto ambao chanzo chake inadhaniwa kuwa ni hitilafu za umeme.

Miili ya watoto wawili wa familia moja Daniel Paul(8)na mdogo wake Emmanuel Paul(3) ambao wamepoteza maisha baada ya nyumba waliokuwa wakiishi kuteketea kwa moto huku wakiwa wamelala ndani majira ya saa moja asubuhi peke yao  huko eneo la mtaa wa Rufita Mwanza road Tabora mjini.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments: